Thursday, 5 February 2015

kijue kilimo kwa undani

kilimo cha bustani ambacho kinaendelea sua kimekuwa cha mafanikio kwani vijana wengi wameweza kupata elimu ya kutosha tunachoweza kuwashauri nikuwa elimu walioipata km wataalam waitumie kuwashauri wakulima huko vijijini

No comments:

Post a Comment