Thursday, 5 February 2015

wakati mwingine kwenye maisha unaitaji kufurahi

kijue kilimo kwa undani

kilimo cha bustani ambacho kinaendelea sua kimekuwa cha mafanikio kwani vijana wengi wameweza kupata elimu ya kutosha tunachoweza kuwashauri nikuwa elimu walioipata km wataalam waitumie kuwashauri wakulima huko vijijini